Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ateuliwa Kuwa Mwenyekiti wa UN - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ateuliwa Kuwa Mwenyekiti wa UN

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ndio mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika -Au

Rais Mkongwe Wa Zimbabwe Robert Mugabe, mwenye umri wa miaka 90, sasa ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Muungano wa Afrika - AU

Wajumbe walimteua Rais Mugabe kwa kauli moja katika mkutano wa AU unaoendelea mjini Addis Ababa Ethiopia
Mugabe amechukua nafasi ya Mwenyekiti anayeondoka Wa Muungano huo, Nkosazana Dlamini Zuma.
Uteuzi wa Mugabe kuongoza muungano huo mkubwa ulio na wanachama zaidi ya arubaini, sasa umeingiza doa ndani ya AU, kwani Mugabe hana uhusiano mzuri na mataifa ya Magharibi, hasa baada ya kukaa uongozini tangu Zimbabwe ilipojipatia uhuru mnamo mwaka wa 80.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages