makamu wa rais wa china,Li Yuanchao afungua mkutano wa uwekezaji kati ya tanzania na china jijini Dar leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

makamu wa rais wa china,Li Yuanchao afungua mkutano wa uwekezaji kati ya tanzania na china jijini Dar leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao
wakitazama picha za ziara ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius
Nyerere kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya
Tanzania na China kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam  Juni
23, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya kinyago, Makamu
wa Rais wa China, Li Yuanchao  kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa
Uwekezaji kati ya Tanzania na China kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini
Dar es salaam  Juni 23, 3014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda   na  Makamu wa Rais wa China, Li  Yuanchao
wakifungua  vitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la Kitegauchumi
la Mfuko wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es salaam Juni 23, 2014. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages