SHABIKI WA MSANII WA VICHEKESHO JOTI AMWOMBA JOTI ASAINI AUTOGRAPHY KWENYE T-SHIRT YAKE ALIYOVAA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHABIKI WA MSANII WA VICHEKESHO JOTI AMWOMBA JOTI ASAINI AUTOGRAPHY KWENYE T-SHIRT YAKE ALIYOVAA

Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika haraka aliweza kumfuata msanii wa vichekesho Tanzania Lucas Mhavile almaarufu JOTI na kumwomba asaini autography katika t-shirt yake bila kujali inachafuKa au laah...Ni hali inayodhihirisha kuwa yeye ni shabiki wa Msanii huyo  wa Vichekesho Na kumuonyesha kuwa anamkubali kabisa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages