WAZIRI CHIKAWE ATUA ZANZIBAR KUTEMBELEA IKULU, NIDA NA UHAMIAJI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI CHIKAWE ATUA ZANZIBAR KUTEMBELEA IKULU, NIDA NA UHAMIAJI LEO

PIX 1 (1)Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto) akipokelewa na Naibu Waziri wa wizara yake, Pereira Ame Silima, wakati alipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo. Kulia ni Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omary Makame. Waziri Chikawe amewasili Zanzibar kwa ajili ya ziara ya kikazi. 
PIX 2 (1)Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto) akimsalimia Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu wakati alipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa  wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo. Waziri Chikawe amewasili Zanzibar kwa ajili ya ziara ya kikazi. 
PIX 3 (1)Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (wa pili kushoto) akiwa na NaibuWaziri wa wizara yake, Pereira Ame Silima (kushoto), Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu na Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omary Makame, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa  wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo Waziri Chikawe amewasili Zanzibar kwa ajili ya ziara ya kikazi. (Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi). PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages