D.O.P wa mradi wa Shindano la kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Sabri (kushoto) akiwa na kijana wake wa kazi wakijaribu moja ya kamera ambayo itatumika katika kazi nzima ya kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania.
Kamera man wakiwa tayari kwenda kujaribu vifaa vyao vya kazi kabla mpango mzima haujaanza katika kusaka vipaji vya kuigiza nchini shindano lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)