NJOO TUCHEZE STYLE YA "YACHUMA CHUMA" NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NJOO TUCHEZE STYLE YA "YACHUMA CHUMA" NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE


Video mpya ya nyimbo ya Kariakoo ya Skylight Band...Enjoy.
DSC_0056
Aneth Kushaba AK47 (wa pili kushoto) akiongoza waimbaji wa Skylight Band kutoa burudani burudani kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0085
Skylight Band na staili yao ya “Yachuma chuma” kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0131
Mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka ndani kiota Thai Village usikose burudani ya kipekee leo usiku kuanzia saa 9:30.
DSC_0239
Umati wa mashabiki wakishuhudia burudani ya Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages