NEWS ALERT: MAKAMU WA RAISI, DKT BILAL, KAMANDA SULEMANI KOVA NA WAZIRI JOHN POMBE MAGUFULI WANUSURIKA KUFA MUDA MFUPI ULIOPITA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NEWS ALERT: MAKAMU WA RAISI, DKT BILAL, KAMANDA SULEMANI KOVA NA WAZIRI JOHN POMBE MAGUFULI WANUSURIKA KUFA MUDA MFUPI ULIOPITA

Makamu wa Rais Dk Gharibu Bilal, Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar Es Salaam, Sulemani Kova na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wamenusurika kufa mara baada ya helikopta ya jeshi waliyokuwa wakitumia kwaajili ya kuzunguka kujionea athari ya mafuriko iliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar Kuanguka katika Uwanja wa ndege wa jeshi uliopo jijini Dar Es Salaam.
Tutaendelea kutafuta habari hii na tutawajuza kadri taarifa zinavyotufikia 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages