Daraja la Dumila lililosombwa Na Mafuriko Miezi michache iliyopita linavyooneka sahivi baada ya matengenezo kukamilika na kuweza kusaidia kurudisha mawasiliano ya barabara kati ya Dodoma na Mikoa mingine ya Morogoro, Pwani na Dar Es Salaam
Maji ya mvua yakitiririka kwa nguvu kwenye daraja hilo.
Wakazi wa Morogoro Wakirekebisha barabara mara baada ya mvua kunyesha
Mandhari ya Mji Kasoro Bahari
Mkaa ukipelekwa Mjini Morogoro





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)