RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI NA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MARA BAADA YA KUWAAPISHA KATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUMU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI NA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MARA BAADA YA KUWAAPISHA KATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUMU

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John Sitta, Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan Katibu wake Mhe yahaya Khamis Hamad  na naibu katibu Dkt Thomas Kashilia  na Mawaziri Mhe John Lukuwi na Mhe Aboud baada ya zoezi la kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge Maalum lililofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Machi 14, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Wastaafu Mhe Olesegun Obasanjo wa Nigeria, Festus Mogae wa  Botswana, Mzee Benjamin William Mkapa, na (walioketi kulia kwa Rais) Mhe Pedro Pires Rais Mstaafu wa Cape Verde, Thabo Mbeki wa Afrika Kusini, Mhe Joachim Chisano wa Msumbiji na Rais wa Benki ya Afrika Dkt Donald Kaberuka. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages