MDAU STANLEY NA MKEWE CHRISTINA RICHARD WANG'ARA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MDAU STANLEY NA MKEWE CHRISTINA RICHARD WANG'ARA

Bwanahausi Crown  Stanley na mke wake Christina Richard wakiwa wenye furaha baada ya kufunga ndoa yao iliyofanyika hivi karibuni katika kanisa la Pcea St. Joseph Kinondoni  na kufuatiwa na Sherehe kubwa iliyofanyika katika Hoteli ya Lamada Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages