MAMA HUYU ALIPOKUWA KIVUTIO KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI YALIYOFANYIKA KATIKA UWANJA WA MWEMBE YANGA JUMAMOSI ILIYOPITA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA HUYU ALIPOKUWA KIVUTIO KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI YALIYOFANYIKA KATIKA UWANJA WA MWEMBE YANGA JUMAMOSI ILIYOPITA

 Mama mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja alikuwa kivutio kikubwa sana katika sherehe ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika Uwanja wa Mwembe yanga tarehe 8 Machi 2014, Mama huyu alikuwa akicheza huku akiwa amekaa chini.Nyuma ni baadhi ya Wafanyakazi wa taasisi mbalimbali waliokuwa wakipita kwenye maandamano wakifurahia kuona Mama huyo akirisakata rumba.
 Hapa akionyesha ishara ya Kumuomba Mungu katika Maadhimisho hayo ya sikukuu ya Wanawake yaliyofanyika katika Uwanja wa Mwembe Yanga Jumamosi tarehe 8 Machi 2014
Hapa akionyesha karatasi lililokuwa na Picha ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa maadhimisho ya sherehe ya Sikukuu ya Wanawake duniani yaliyofanyika katika Uwanja wa Mwembe Yanga tarehe 8 Machi 2014.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages