| Bondia Juma Fundi kushoto akitinishiana misuli na Baina Mazola baada ya kusaini mkataba wa kupigana Mei 11 katika ukumbi wa DID HALL Mabibo Mwisho |
| Promota wa mchezo wa masumbwi Mahiyo Mkumbi kulia akiwaonesha mkataba mabondia pamioja na viongozi wa masumbwi kabla ya kutia saini mkataba huo kwa ajili ya mpambano wa mei 11 |
| Bondia Juma Fundi akitia saini mkataba wa kupambana na Baina Mazola mei 11 katika ukumbi wa DID Mabibo mwisho |
| Promota wa mchezo wa masumbwi Mahiyo Mkumbi katikati akiwainua juu mabondia kutambulisha mpambano wao utakaofanyika mei 11 mabibo mwisho picha na www.superdboxingcoach. |





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)