Introducing Baraka Da Prince na ngoma yake mpya 'JICHUNGE' - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Introducing Baraka Da Prince na ngoma yake mpya 'JICHUNGE'

Hii ni video mpya ya msanii mpya wa Tetemesha Entertainment aitwaye BARAKAH da PRINCE. Wimbo unaitwa JICHUNGE. Video ilifanyika Dar na kuongozwa na director kutoka Arusha, NISHER.
Leo 10.03.14 ndio tunaiachia rasmi, lakini audio itatoka rasmi wiki ijayo Jumatatu 17.03.14.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages