CUF LAWAMANI KWA KUVAMIA OFISI YA CCM NA KUJERUHI KIONGOZI WA CCM UBENA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CUF LAWAMANI KWA KUVAMIA OFISI YA CCM NA KUJERUHI KIONGOZI WA CCM UBENA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akizungumza na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Ubena Jesca Daudi ambaye alivunjwa mkono na Viongozi wa CUF waliovamia ofisi ya kata kwenye kijiji cha Tokamisasa.
 Katibu wa Wilaya ya Makete Miraji Mtaturu akizungumzia tukio lililomkuta  Mwenyekiti wa UWT Kata ya Ubena Jesca Daudi ambaye alivunjwa mkono na Viongozi wa CUF waliovamia ofisi ya kata kwenye kijiji cha Tokamisasa kuwa ni kitendo cha kinyama na cha kupingwa kwa nguvu zote na kitendo hicho kimemvua sifa za kuwa mgombea ubunge  wa CUF.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages