
Meneja wa benki ya NIC Mbuche Mgawa wa nne kulia akipokea maelezo kutoka kwa bibi Mary Robert Kaswende meneja wa kituo cha Dymphna Special school iliyopo sakina kwa idd mara baaada ya kuwasili shuleni hapo.

Watoto wa shule maalum ya Dymphna wakiwasikiliza wageni ambao ni wafanyakazi wa benki ya NIC

Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC


Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC, na BENKI YA NIC wakiwa pamoja na misaada waliyobeba na watoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ziara ya kuwatembelea kituo hichon ambvacho ni maaalum kwa ajili ya kutoa elimu kwa watoto wenye matatizo ya mtindio wa ubongo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)