WAZIRI MKUU PINDA AENDE NYUMBANI KWA MAREHEMU MGIMWA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAZISHI NA KUWAPA POLE WAFIWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU PINDA AENDE NYUMBANI KWA MAREHEMU MGIMWA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAZISHI NA KUWAPA POLE WAFIWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Bibi Jane Katingo, Mama Mzazi wa Aliekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati  alipokwenda  nyumbani kwa marehemu huyo katika kijiji cha Magunga, Iringa  kutoa pole na kuangalia maandalizi a mazishi  Januari 5, 20134.
 Waziri mkuu, Mizengo  Pinda  akizungumza na   jamaa wa karibu wa aliyekuwa waziri wa Fedha, Dr. WilliamMgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiiji cha Magunga, Iringa kuwapa pole
wafiwa  na kukagua maadalizi ya  mazishi Desemba 5, 2014
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwafariji  wanafamilia wa aliyekuwa Waziri
wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu
katika kijiji cha  Magungua, Iringa kuwapa pole na kukagua maandalizi ya
mazishi Desemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages