WAZEE WA FEVA HAMJALIONA HILI KWENYE BARABARA YA MANDELA JIJINI DAR ES SALAAM? - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZEE WA FEVA HAMJALIONA HILI KWENYE BARABARA YA MANDELA JIJINI DAR ES SALAAM?

 Magari makubwa yakiwa yamepaki kwenye barabara ya Mandela kuanzia TOT  mpaka Mwananchi ambapo imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii.
Hii imekuwa kero kwa watu wengi wanaoitumia barabara ya Mandela kwani magari haya yachukua nafasi kubwa ya barabara
Pia kuna magari mengine yamepaki kwenye service roads .CHANZO: PAMOJA BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages