SMART HOTEL NDANI YA MJI WA BUKOBA SEHEMU TULIVU KABISA KWA MAPUMZIKO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SMART HOTEL NDANI YA MJI WA BUKOBA SEHEMU TULIVU KABISA KWA MAPUMZIKO

 Ukumbi Safi kabisa
 Mandhari safi kabisa huku upande wa kulia ni Moja ya Kaunta iliyopo ndani ya Hoteli hiyo
 Hapa ni sehemu ya Ndani ya Hoteli kama inavyoonekana katika Picha
 Lango la Kuingilia Ndani ya Hotel
Hapa ni nje Ya Hoteli hiyo
Katika Zunguka Zunguka zangu katika Mji wa Bukoba Nilibahatika kufika katika Hoteli Moja ammbayo nilikuwa sijawahi kuhifahamu hapo mwanzo, lakini nilipofika tu kwa mara ya kwanza kiukweli nilivutiwa na Mandhari ya Hotel hiyo kwasababu ni sehemu tulivu na Ipo nje ya Mji Kidogo wa Bukoba Ambapo Mbele ya Hoteli hiyo kuna uwanja wa Ndege wa Bukoba kiukweli ni sehemu nzuri ambayo kwa watu wasiopenda kelele hapa ndio panakuhusu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages