MWILI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DK WILLIAM MGIMWA WAWASILI NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MWILI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DK WILLIAM MGIMWA WAWASILI NCHINI


Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchini kwa ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue pamoja na Mawaziri mbalimbali na Wabunge.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages