Tuta la lami likiwa limeibuka katikati ya barabara ya St Mary’s,
Tabata wakati barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 1.6 ikiwa imejengwa
miezi michache iliyopita na Kampuni ya Del Monte (T), kwa Sh milioni 974
za Mfuko wa Barabara.
Zipo taarifa kuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa alishaagiza
uchunguzi ufanyike lakini barabara hiyo inazidi kuharibika. (Na
Mpigapicha Wetu).






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)