CHELSEA YAPETA KOMBE LA FA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHELSEA YAPETA KOMBE LA FA

ch b81c2
AKICHEZA mechi yake ya 300, kiungo John Obi Mikel amefunga bao katika ushindi wa Chelsea wa 2-0 katika Raundi ya tatu ya Kombe la FA jioni hii Uwanja wa iPro. (HM)
Kwa ushindi huo, The Blues inayofundishwa na Jose Mourinho imefuzu kuingia Raundi ya nne ya Kombe la FA.
Mikel alifunga bao lake dakika ya 66 kabla ya Oscar kufunga la pili dakika ya 71. Chanzo: binzubeiry

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages