ZAMBIA NAO WATINGA NUSU FAINALI CHALENJI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

ZAMBIA NAO WATINGA NUSU FAINALI CHALENJI

Wachezaji wa Zambia wakishangilia ushindi.
Timu ya Zambia nayo imefanikiwa kutinga nusu fainali michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kuiondoa timu ya Burundi kwa penalti 4-3 muda mfupi uliopita! Mechi hiyo ilimalizika 0-0 katika muda wa kawaida wa dakika 90.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages