TAZAMA PICHA KWA MAKINI NA WEKA NENO HAPO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TAZAMA PICHA KWA MAKINI NA WEKA NENO HAPO

Hapo ilikua ni katika Kikao Muhimu sana cha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akitoa maelezo juu ya maendeleo ya sekta ya nishati kwa Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Ubou Sabaa (aliyeketi upande wa kulia). Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya sekta ya nishati katika maeneo ya ulipaji kodi, mapato, ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni pamoja na uboreshaji wa shirika la Tanesco.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages