Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Mama katika Familia - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Mama katika Familia

Muendeshaji wa kipindi cha FAMILIA Dada Georgina Lema akiongea nano katika Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion kwenye maada ya Majukumu ya Mama katika Familia.

Mubelwa Bandio pia akichangia maada katika kipindi cha Familia kinachoendeshwa na Dada Georgina Lema.

Baybe Mgaza akichangia kwenye  Kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Mama katika Familia.

Mgeni wetu rasmi kwenye kipindi cha FAMILIA  walikua ni Mayor Mlima.

Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA kutoka Jamii Production.

Katika kipindi hiki, tunaendeleza mjadala juu ya WAJIBU WA MZAZI KATIKA  FAMILIA na kwa wiki hii, tumejadili WAJIBU WA MAMA KATIKA FAMILIA.

Mbali na washiriki waliokuwa studio, pia tuliweza kusoma maoni toka kwa
wasikilizaji wetu wanaoacha katika kurasa zetu za FACEBOOK 
Karibu uungane nasi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages