MKURUGENZI MKUU WA PSPF NA MSAFARA WAKE WAUZA SERA ZAO DMV - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MKURUGENZI MKUU WA PSPF NA MSAFARA WAKE WAUZA SERA ZAO DMV

Mkurugenzi mkuu wa PSPF Bwn. Adam Mayingu akiuza sera za PSPF alipokutana na wanaDMV Jumapili Dec 8, 2013 pamoja na kuanguka kwa theluji DMV Watanzania walijitahidi kutokea kwenye mkutano huo na baada ya mkurugenzi mkuu kumaliza kumwaga sera kulikua na kipindi cha maswali na majibu. Skiliza sera za PSPF hapa chini kama zilivyoelezwa na Mkurugenzi Mkuu.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akitambulisha viongozi wenzake kwa PSPF na kuutambulisha msafara mzima wa PSPF kwa wanaDMV.
Meneja wa mawasiliano, masoko na uenezi wa PSPF Bi. Costantina Martin akifafanua moja ya swali lililoulizwa na mmoja ya Watanzania wa DMV waliofika kwenye mkutano huo.
Meza kuu kutoka kushoto ni Grace Mgaza ambaye ni mjumbe wa bodi ya udhamini  wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Meneja mawasiliano, masoko na uenezi wa PSPF Bi. Costantina Martin, Rais wa Jumuiya DMV, Iddi Sandaly, Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bwn. Adam Mayingu, Kaimu deski la Diaspora Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano Bi.Rosemery Jairo na Mama Kimolo.
Mwakilishi wa PSPF mlimbwende wa kimataifa Flaviana Matata (kushoto) akifuatilia mkutano huo wengine katika picha ni Magie na DMK.
Juu na chini ni Watanzania wa DMV waliohudhuria mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages