MASHINDANO YA TANZANIA BOXING AWARDS YAZINDULIWA KWA WANAMASUMBWI KUZIPIGA MWENGE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MASHINDANO YA TANZANIA BOXING AWARDS YAZINDULIWA KWA WANAMASUMBWI KUZIPIGA MWENGE

Bondia John Christian kushoto akipambana na Gervas Rogasiano wakati wa uzinduzi wa tunzo za Tanzania Boxing Awards  iliyofanyika katika kituo cha mabasi ya mwenge Dar es salaam Christian  alishinda kwa pointi mpambano huo, wananchi watatakiwa kupiga kula kwa mabondia waliochaguliwa kugombea tunzo hizo kilele chake kitakuwa desemba 28 ambapo washindi watatangazwa  
Baadhi ya viongozi na waau wa mchezo wa masumbwi wakifatilia mashinano hayo ya ngumi kwa ajili ya kuhamasisha tuzo za Boxing AWARD zitakazofikia kirere Desemba 28 mwaka huu wa 2013
Mabondia wa uzito wa juu Kulwa Makenzi kushoto akipambana na Haruna Swanga wakati wa mashindano ya wazi ya kutangaza tuzo za Tanzania Boxing Awards ambazo kilele chake kitakuwa Desemba 28 Swanga alishinda kwa pointi mpambano huo 
Bondia Hamad Furahisha kushoto akimsukumiza konde la kulia George Costantino wakati wa uzindunzi  wa Tuzo za Tanzania Boxing Awards iliyofanyika katika kituo cha mabasi mwende Dar es salaam Furahisha alishinda kwa point mpambano huo
Matangazo ya kuamasisha tuzo za ngumi
mmoja ya wadau wa mchezo wa masumbwi akibandika tanzazo la kuhamasisha masumbwi
Bondia Haruna Swanga akipiga picha kwenye bango
Bondia John Christian kushoto akipambana na Gervas Rogasiano wakati wa uzinduzi wa tunzo za Tanzania Boxing Awards  iliyofanyika katika kituo cha mabasi ya mwenge Dar es salaam Christian  alishinda kwa pointi mpambano huo  wananchi watatakiwa kupiga kula kwa mabondia waliochaguliwa kugombea tunzo hizo kilele chake kitakuwa desemba 28 ambapo washindi watatangazwa 
Bondia John Christian kushoto akitupa ngumi ya kulia wakati wa mpambano wake  na Gervas Rogasiano wakati wa uzinduzi wa tunzo za Tanzania Boxing Awards  iliyofanyika katika kituo cha mabasi ya mwenge Dar es salaam Christian  alishinda kwa pointi mpambano huo  wananchi watatakiwa kupiga kula kwa mabondia waliochaguliwa kugombea tunzo hizo kilele chake kitakuwa desemba 28 ambapo washindi watatangazwa  Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages