
Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa makubwa, kutoka pande zote za dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo.






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)