SNURA MUSHI AFIWA NA KAKA YAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SNURA MUSHI AFIWA NA KAKA YAKE

Mwanamuziki Snura Mushi amefiwa na kaka yake aitwaye Joseph Mushi. Kupitia akaunti yake ya Facebook, mkali huyo wa wimbo wa Majanga ameandika maneno haya "R.I.P my brother mbele yako nyuma yetu. Msiba uko Mlandizi tunazika leo saa 10 jioni. Kaka Yusuph Mushi ni wa kwanza kuzaliwa kwa baba yangu mzee Mushi."

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages