Dkt. Nchimbi aendelea na ziara yake ya kikazi nchini Zambia - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Dkt. Nchimbi aendelea na ziara yake ya kikazi nchini Zambia

Pichani Mh Waziri John Nchimbi na maafisa wake wakiwa na mh Balozi Grace MUJUMA Aliye upande wa kulia wa Mh Waziri,na maafisa wa Ubalozi huo bi Justa Nyange pembeni kwa Balozi,Bw Jeswald Majuva Aliye mwisho kushoto na Bw Huddy Kiangi aliyechuchuma mbele na Shati la kitenge.Wengine Pichani ni viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio Lusaka Zambia Bw Ngowi mwenyekiti Aliye upande wa kushoto wa mh Waziri,Makamu mwenyekiti Mrs Mulenga Aliye upande wa kulia,Katibu Bw Greenwell Mwahalende Aliye nyuma ya Mrs Mulenga na bw Gwakisa katibu mwenezi wa jumuiya hiyo aliyechuchuma mbele mwenye Shati jeupe.

Mjumuiko huo ulitokea nyumbani kwa Mh Balozi tarehe 24/11/2013 wakati alipowaalika kwa ajili ya mazungumzo ,kubadilishana Mawazo na kupata chakula cha jioni.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages