Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwasha trekta wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi mjasiliamali wa kilimo, Filimoni Choroha(chini kushoto) aliyefaulu kupewa kifaa hicho katika awamu ya pili ya program ya Wezeshwa na Safari Lager.Hafla ya makabidhiano ilifanyika Dar es Salaam jana.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akimkabidhi mjasiliamali, Filimoni Choroha kadi ya Trekta na funguo, ikiwa ni ruzuku ya program Wezeshwa na Saafari Lagar awamu ya pili ambapo mjasilamali huyo alifuzu kupewa. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Dar es Salaam jana.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akimkabidhi mjasiliamali, Filimoni Choroha kadi ya Trekta na funguo, ikiwa ni ruzuku ya program Wezeshwa na Saafari Lagar awamu ya pili ambapo mjasilamali huyo alifuzu kupewa. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Dar es Salaam jana.Kushoto ni Jaji Mkuu wa Taasisi ya TABDS, Joseph Migunda, kutoka kampuni ya TABDS.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)