NMB MLIPA KODI BORA KWA MWAKA 2013 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NMB MLIPA KODI BORA KWA MWAKA 2013

NMB_TRA1Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi ,Mh. Janet Mbene (Kulia) akimkabidhi tuzo na cheti Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bw. Mark H. Wiessing baada ya benki ya NMB kuibuka mshindi kwa watoaji kodi wakubwa kwenye sekta ya huduma za kifedha, pia matawi ya NMB Mwenge na NMB Chakechake-Pemba yameshinda vyeti kama matawi yanayotoa msaada kwa walipa kodi wa wilaya ya Kinondoni na Chakechake.Tuzo hizo zimetolea katika maadhimisho ya 7 ya siku ya mlipa kodi yaliyofanyika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages