Wanaume walikuwa kwenye semina. Waliulizwa; mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini?
Wengine walisema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu.
Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amwandikie mkewe
ujumbe mfupi kwa simu "sms" amwambie nakupenda mke wangu halafu
wabadilishane simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake.
Majibu yalikuwa hivi:
1. Unaota au?
2. Umekumbwa na nn?
3. Makubwa!
4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani...
5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.
6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.
8. Wewe sema unachotaka.
9. Leo hunipati ng'o!
10. Nani mwenzangu?
TAFAKARI!CHUKUA HATU





NIMECHEKA SINA MBAVU
ReplyDelete