Taarifa zilizotufikia katika dawati letu la habari kutoka kwa chanzo chetu cha habari zinasema kuwa Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya nchini Joseph Haule almaarufu kama Prof Jay Amepata Ajali maeneo ya Kimara Baruti Wakati akimkwepa mtu na Kupalamia kifusi, Taarifa zinasema kuwa Prof Jay hajaumia sana. tutaendelea kuwajuza kadri tunavyozidi kupata habari zaidi...
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)