Mh. Al Hajji Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi zawadi na kikombe cha ushindi mshindi wa jumla wa mashindano ya golf ya Waitara Trophy Nevile Cory kutoka Afrika Kusini nwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam
Muasisi wa mashindano ya Waitara Cup akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon ambao ni wadhamini wakuu wa mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnie Walker
Rais wa awamu ya pili Mh. Ali Hasan Mwinyi akipiga mpira kuashiria kufunga mashindano ya golf ya Waitara Trophy 2013 mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam
Steve Gannon akimkabidhi kombe mshindi wa kwanza wa Div B Shabani Kibuna kutoka Club ya Lugalo
Steve Gannon










No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)