MABONDIA SAID MBELWA , SHABANI KAONEKA WAPIMA UZITO KUPAMBANA KESHO JUMAPILI NOVEMBA 10 PUGU KILUMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MABONDIA SAID MBELWA , SHABANI KAONEKA WAPIMA UZITO KUPAMBANA KESHO JUMAPILI NOVEMBA 10 PUGU KILUMBA

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi ambaye ni mratibu wa pambano hilo Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondia Shabani Kaoneka Kushoto na Said Mbelwa baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Novemba 10 siku ya jumapili katioka ukumbi wa Zulu Paradies Pugu Kilumba kesho 
Bondia Shabani Kaoneka kushoto na Said Mbelwa kulia wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito katikati ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D'
Bondia Said Mbelwa akipima uzito kushoto ni mpinzani wake Shabani Kaoneka na kulia ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila Super D' mpambano utakaofanyika jumapili ya novemba 10 katika ukumbi wa Zulu Paradies pugu kilumba 
Bondia Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mpambano huo kushoto ni mpinzani wake said Mbelwa na kulia ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D' pICHA NAwww.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages