
Kutoka kushoto ni Paulyne Zongo, Khadija Mnoga (Kimobitel) na Joan Matovolwa.Wanamuziki hao watatu na wakongwe nchini ndio wanaounda kundi hilo linalojulikana kwa jina la NDEGE 3
Jina la Nyimbo ni MISUKOSUKO.
Jina la kundi letu ni NDEGE 3 Waimbaji ni Khadija Mnoga (Kimobitel) , Paulyne Zongo na Joan Matovolwa tumefanya featuring na Grayson Semsekwa.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)