Kesho Jumanne Novemba 12, 2013 Kijiwe cha ughaibuni kitakuwa na akina Benja Mwaipaja na Yasin Randi ambao wamerudi kukata kiu ya mashabiki wao waliokuwa wakiwauliza wapo wapi na wamewaahidi kukutana japo mara moja kwa mwezi ili kwapa burudani mashabiki wao waliokuwa wakiwaulizia muda mrefu
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)