Waziri Mkuu Mizengo Pinda aendelea na Ziara yake nchini China - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Waziri Mkuu Mizengo Pinda aendelea na Ziara yake nchini China

IMG_0086
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Benki ya Exim ya China, Bw.Li Ruogu mjini Beijing Oktoba 17, 2013.
IMG_0097
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa Benki ya EXim ya China Bw. Li Ruogu baada ya mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 17, 2013.
IMG_0102
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na rais wa Benki ya Exim ya China , Bw. Li Ruogu kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 17, 2013.
IMG_0118
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa China Development Bank (CDB), Bw. Zheng Zhijie kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing Oktoba 17, 2013. kushto ni Waziei wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu na Kulia ni Balozi wa China nchin, Dr. Lu Youqing.
IMG_0138
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China Development Bank, Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing, Oktoba 17, 2013. Kushoto ni Balozi wa China Nchini Dr. Lu Youqing.
IMG_0141
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China Development Bank, Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing, Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages