![]() |
| wafanyakazi wa tigo nao wakitoA heshima zao za mwisho kwa marehemu |
Mmoja wa ndugu wa marehemu akisaidiwa baada ya kushindwa na uchungu mkubwa wa kumpoteza ndugu yake |
![]() | ||
Umati wa ndugu jamaa marafiki pia wafanyakazi wa tigo wakiwa makaburini kwa ajili ya kuupumzisha mwili wa marehemu ![]() |
jeneza linaweka taratibu kaburini kwa ajili ya kuzikwa
![]() |
| Marafiki zake wa karibu wa marehemu wakiongozwa na Steven Mtawa wakiweka mataji ya maua juu ya kaburi |
![]() |
| mwakilishi toka tigo ndg Edwin Mgoa akiweka maua katika kaburi la ndugu sanga nyamasyeki |
![]() |
| Kaka na mdogo wa marehemu wakisadiwa na mama yao katikati katika kuweka mashada ya maua katika kaburi la marehemu |
![]() |
| baba wa marehemu Dr leonard nyamasyeki na mama mzazi wakiwa katika huzuni katika safari ya miwsho ya mtoto wao mpendwa sanga nyamasyeki |
![]() |
| Mchungaji wa kanisa la yehova akitoa neno la mwisho kwa wafiwa na wote waliofika katika mazishi haya alasiri ya leo katika makaburi ya kinondoni jijini dar es salaam |
![]() |
| Baba mzazi wa marehemu akitoa shukrani kwa wote waliokuwa pamoja katika kipindi cha ugonjwa na hatimaye kipindi kigumu cha kifo cha mtoto wake mpendwa sanga nyamasyeki |


















No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)