uzinduzi wa mashindano ya Mitumbwi kanda ya Ziwa. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

uzinduzi wa mashindano ya Mitumbwi kanda ya Ziwa.

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Fimbo Butallah(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Mitumbwi kwa kanda ya Ziwa yanayodhaminiwa na Bia ya Balimi Extra Lager.Uzinduzi huo umefanyika Dar es Salaam leo.Kulia ni Mratibu wa mashindano hayo, Peter Zacharia.Picha kwa hisani ya Integrateg Comminication Limited.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages