SHEREHE YA EID DMV YAFANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SHEREHE YA EID DMV YAFANA

Imam Hussein Ibrahim akiongoza swala kwenye sherehe y Eid iliyofanyika Jumanne Oct 15, 2013 DMV na kuhudhuriwa Watanzania wa DMV .
Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali kwenye sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania na marafiki zao waishio DMV na vitongoji wa jirani.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) Bwn. Yusuf(kati) akiongea jambo kwenye sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland Jumanne Oct 15, 2013 wengine kwenye picha ni Imam Hussein Ibrahim (kushoto) na mjumbe wa bodi ya udhamini ya TAMCO, Bwn. Seif Ameir
Kutoka kushoto ni Dkt. Hamza Mwamoyo, Jasmine Barnett, Risi wa Jumuiya DMV bwn. Idd Sandaly na Mganga Muhombolage wakiwa meza kuu.
Watanzania waliohudhuria sherehe ya Eid.
Aunt Asha na mumewe.
Moza kutoa New York akiwa kwenye sherehe hiyo ya Eid iliyofanyika DMV Jumanne Oct 15, 2013
Watanzania waliohudhuria sherehe hiyo.
Watanzania na marafiki zao wakiwa kwenye sherehe ya Eid
wakati wa chakula. Kwa picha zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages