
Ndani Ya Ambassadors Lounge “Ijumaa Hii”Ya Tarehe 01.11.2013 Itakuwa Ni Kuua Ndege Wawili Kwa Jiwe Moja Ni “Welcome Back Party” Ya Wanafunzi Wote Wa IFM Ambao Mlikuwa Likizo Na Sasa Mmerejea Chuoni Na Pia Ni “Welcome Back Party” Ya Msanii STEVE RNB Ambae Kwa Muda Mrefu Sasa Hujamsikia Wala Kumuona Sababu Alikuwa Kwenye Tour Ndefu Nje Ya Nchi,Njoo Umuone Akiperform Hit Single “Jambo Jambo” Na Akitambulisha Wimbo Wake Mpya “Huyu Demu” Feat Mr Blue ,Kama Kawa Kwenye Decks Ni Dj Steve B/Dj Skills Along Side Dj Pac Na Dj Masu.Kiingilio NI sh 10,000 tu mlangoni kuanzia saa 3 usiku Wanafunzi Wa Vyuo Vyote Vingine Vya Dar-es-salaam Mnakaribishwa Tujumuike Kwa Pamoja... Sana Tu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)