Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiweka jiwe la
msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa
malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akitoa
hotuba wakati wa kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za
kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa
Kibaha mkoani Pwani. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (wa kwnza kulia)
akiteta jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda
(katikati) na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi (wa
kwanza kushoto) wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha
kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje
kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani. Balozi
wa Cuba nchini Jorge Luis Lopez Tarmo (wa kwanza kulia) akimkabidhi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete zawadi ya
picha ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Fidel Castro wakati
hafla ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia
viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha
mkoani Pwani. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa LABIOFAM Dkt. Jose Frag
Castro akifuatiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah
Kigoda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Dkt. Chrisant
Mzindakaya (kulia) wakati akiwasili katika viwanja vya eneo la kiwanda
cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo
nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani.Baaadhi
ya wafanya kazi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), wafanyakazi wa
LABIOFAM na wageni waalikwa wkimsikiliza Mgeni Rasmi (hayupo pichani)
wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa
za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji
wa Kibaha mkoani Pwani.
Picha ya pamoja ya Rais Dkt. Jakaya Kikwete na wageni waalikwa mara
baada ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia
viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha
mkoani Pwani. Rais
Dkt. Jakaya Kikwete akitembelea baadhi ya sehemu za kiwanda cha
kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria mara baada ya
kuweka jiwe la msingi la kiwanda hicho leo kilichopo nje kidogo ya mji
wa Kibaha mkoani Pwani. Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na akina mama mara baada ya
kuwasili katika viwanja vya eneo la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia
viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha
mkoani Pwani.(Picha zote na Eleuteri Mangi-Maelezo)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)