PINDA AAGANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

PINDA AAGANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI

.com/blogger_img_proxy/Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimpatia zawadi ya marimba Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake, Yahya Moosa Albakari ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri  Mkuu, jijini Dar es salaam kuaga Oktoba 8, 2013.
.com/blogger_img_proxy/Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimpatia zawadi ya kinyago cha faru Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake, Yahya Moosa Albakari ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri  Mkuu, jijini Dar es salaam kuaga Oktoba 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages