Pages

PSPF YAKUTANA NA WADAU WAKE KATIKA CHAKULA CHA JIONI, YAELEZA FAIDA ZA KUJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni PSPF, Adam Mayingu akitoa taarifa za  majukumu, mafanikio, changamoto na mipango ya mfuko kwa wadau wa mfuko  huo waliohudhuria kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na  PSPF.
Wakurugenzi wa idara tano za PSPF katika picha ya pamoja wakati wa utambulisho kwa  wadau wa mfuko huo, kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani,  Godfrey Ngonyani, Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji, Gabriel Silayo,  Kaimu Mkurugenzi wa Technohama, Andrew Mkangaa, Kaimu Mkurugenzi wa  Uendeshaji, Francis Mselemu na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Masha  Mshomba.  
Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji PSPF, Gabriel Silayo akieleza namna mfuko  unavyowekeza ili kulinda thamani ya michango ya wanachama dhidi ya  mfumuko wa bei na changamoto nyingine za kiuchumi
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Francis Mselemu akifafanua jambo kwa wadau wa mfuko huo
Afisa Mahusiano na Masoko wa PSPF, Hawa Kikeke na Mshereheshaji wa hafla hiyo Ephraim Kibonde 
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala PSPF, Masha Mshomba akifafanua jambo kwa wadau wa  mfuko huo waliohudhuria hafla ya chakula cha jioni


Afisa Mahusiano wa PSPF, Fatma Elhagy akifafanua jambo kwa mdau wa mfuko huo  wakati wa halfa ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Dar es Salaam 
Kaimu Mkurugenzi wa Technohama PSPF, Andrew Mkangaa akieleza namna mfumo wa  habari na mawasiliano unavyotumika katika kuboresha huduma za mfuko  katika utunzaji wa kumbukumbu, ukokotoaji wa mafao, kuandaa malipo ya  mafao na mawasiliano ya ndani na nje.
Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani PSPF, Godfrey Ngonyani akieleza shughuli za ukaguzi wa ndani zinavyofanyika kwa uangalifu ili kuongeza ufanisi na utendaji  wa mfuko
Wadau wa mfuko wa PSPF 
Menejawa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Costantina Martin akitoa  maelezo juu ya mpango wa uchangiaji wa hiari na namna wadau na jamii kwa ujumla inavyoweza kunufaika na mafao yanayopatikana katika mpango huo
 Wadau wa mfuko wa PSPF
 Baadhi ya watumishi wa PSPF

 Wadau wa PSPF

    Wadau
  Wadau 
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)