Pages

BODI YA UTALII TTB YAANDAA WARSHA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MKAKATI WA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA KIMATAIFA

5Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii (TTB) Bw. Geofrey Meena akitoa maelezo mbele ya waandishi wa habari wakati akijibu maswali kwenye Warsha ya Mkakati wa kutangaza utalii wa Tanzania kimataifa iliyoandaliwa na Boodi hiyo na kuhudhuriwa na wahariri na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari pamoja na maafisa wa (TTB), Warsha hiyo imefanyika leo kwenye hoteli ya New Africa leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii (TTB) na kushoto ni Sam Kasulwa Ofisa mawasiliano wa (Tourism Confederation of Tanzania),
1Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii (TTB) akijibu swali katika warsha hiyo katikati ni Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii (TTB) Bw. Geofrey Meena na kushoto ni Sam Kasulwa Ofisa mawasiliano wa (Tourism Confederation of Tanzania) 2Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii (TTB) akiwasilisha mada katika warsha hiyo iliyofanyika leo. 3Geofrey Tengeneza Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii (TTB) akitoa utambulisho wa mada zenyewe na malengo ya Warsha hiyo. 6Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika warsha hiyo 7Lilian Timbuka Mwandishi mwandamizi kutoka Gazeti la Uhuru akiuliza swali katika warsha hiyo. 8Baadhi ya maofisa kutoka Bodi ya Utalii (TTB) wakiwa katika warsha hiyo. 9Kutoka kushoto Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Geofrey Meena , Sam Kasulwa Ofisa mawasiliano wa Shirikisho la Utalii Tanzania (Tourism Confederation of Tanzania na Geofrey Tengeneza Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii TTBwa nne wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofiza wa Bodi ya Utalii (TTB) mara baada ya kumalizika kwa warsha hiyo.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NEW AFRICA HOTEL)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)