Pages

Siku ya sita Ziara ya CHADEMA Jimbo la Tabora Kaskazini.




Tumefanya mkutano wetu wa mwisho kijijini Mabama. Mkutano mkubwa sana  na kuingia wanachama wengi sana. Kilio kikubwa cha wananchi ni Maji na  unyonyaji katika zao la Tumbaku. Kuna haja kubwa sana ya kusukuma  hifadhi ya jamii kwa wakulima. Tunaweza kukoboa wakulima wengi sana  kutoka kwenye unyonyaji. 

Ufisadi kwenye ngazi ya kijiji unatisha.  Kama kawaida Mh Zitto Kabwe alicha swali, Umewahi kusikia jengo la matofari ya saruji linajengwa kwa tope?   Kesho 12th Oct  Nzega na keshokutwa 13th  Igunga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)