WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI MH SAMWEL SITTA ATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA SERENGETI KUJIONEA JINSI BIA ZINAVYOZALISHWA NA KIWANDA HIKO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI MH SAMWEL SITTA ATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA SERENGETI KUJIONEA JINSI BIA ZINAVYOZALISHWA NA KIWANDA HIKO

Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta akipokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh jaji Mstaafu Mark Boman mapema leo wakati alipotembelea Kiwanda cha Kutengeneza Bia cha Serengeti Kilichopo Maeneo ya Chang'ombe Jijini Dar Es Salaam Kwaajili ya Kujionea Shughuli zinazofanywa na Kiwanda hiko cha Bia.Kushoto Ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Bw Steve Gannon
Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta akisalimiana na Mmoja wa Viongozi wa Juu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha Bia cha Serengeti kwaajili ya Kujionea shughuli zinazofanywa na kiwanda hiko ambacho ndio watengenezaji wa Kinywaji cha Bia aina ya Serengeti lager.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Tanzania Mh Jaji Mstaafu Mark Boman akitoa taarifa ya kampuni ya Bia ya Serengeti kwa Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta wakati alipotembelea kiwanda cha Kutengenezea Bia za kampuni ya Bia ya Serengeti mapema leo
Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta akipewa taarifa juu ya maendeleo ya Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) wakati alipotembelea Kiwanda hiko mapema leo Kwaajili ya Kujionea shughuli nzima zinazofanywa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia Kiwanda Chake kilichopo Maeneo ya Chang'ombe Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mh Steve Gannon akitoa maelezo kwa Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Hayupo pichani) wakati alipotembelea kiwanda cha Kuzalisha bia cha Serengeti mapema leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh Steve Gannon (Mwenye Suti Nyeusi) akimuonyesha Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Mwenye Mvi) moja la Tangazo la kampeni inayoendelea hivi sasa ya Tupo Pamoja katika Shangwe za Mafanikio kutoka kampuni ya Bia ya Serengeti Wakati alipotembelea Kiwanda hiko Mapema leo.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mh Ephraimu Mafuru akitoa maelezo kwa Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Hayupo pichani) aliyefika katika Kiwanda cha Kampuni ya Bia ya Serengeti kilichopo Maeneo ya Chang'ombe Jijini Dar Es Salaam mapema leo kwaajili ya kujionea shughuli zinazofanywa na Kiwanda hiko
 Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Wa kwanza Kushoto) akitembezwa na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Wakati alipotembelea kiwanda Cha Kampuni hiyo kilichopo Chang'ombe Jijini Dar Es Salaama mapema leo
 Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Katikati) akipewa ufafanuzi juu ya mashine ya kusafisha Chupa zinazowekewa Kinywaji cha Bia ya Serengeti Wakati alipotembelea Kiwanda cha Kampuni ya Bia ya Serengeti kilichopo Chang'ombe Jijini Dar Mapema leo Asubuhi
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Wakipakia bia kwenye makasha tayari kwa Kusafrishwa mara baada ya Hatua zote kumalizika
Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta Akifanya mahojiano na Baadhi ya waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Wakati alipotembelea Kiwanda cha Kampuni ya Bia Cha Serengeti Kilichopo Chang'ombe Jijini Dar Es Salaam mapema leo asubuhi.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages