JK ALIPOKUTANA NA WADAU WASHINGTON DC - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

JK ALIPOKUTANA NA WADAU WASHINGTON DC


.com/blogger_img_proxy/
Rais wa Tanzania Dr.Jakaya Kikwete alipokutana na mpiganaji SundayShomari wa VOA siku ya Jumatano kwenye ofisi za ubalozi washington Dc. .com/blogger_img_proxy/
Rais Kikwete akiwa na Katibu wa CCM-DMV Bw.Kinyemi.com/blogger_img_proxy/
Rais Kikwete akiwa na mwenyekiti wa CCM DMV George Sebo..com/blogger_img_proxy/
Rais Kikwete akiwa na Dr.Mwamoyo Hamza mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA
.com/blogger_img_proxy/
Rais Kikwete na mchungaji Kadjolo..com/blogger_img_proxy/
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Mh. Bernard Membe akitoa hotuba ya kuwapongeza mabalozi wa hiyari wa Tanzania. Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages