Baadhi ya washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita wakijaza fomu maalumu kabla ya kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam mapema hii leo.
Meneja wa bia ya Tusker Sialouise Shayo(katikati)katika picha ya pamoja
na washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya
usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita, mara baada ya kutembelea
kiwandani hapo hii leo.
Packaging Manager wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Praygod Minja akitoa maelezo kuhusu namna ya upakiaji wa bia ya Tusker kwa washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita walitembelea kiwandani hapo leo mchana.
Mpishi mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Cliff Chilipachi akitoa
maelezo kwa washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili
ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita walitembelea kiwandani
hapo leo mchana.
Packaging Manager wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Praygod Minja katika picha ya pamoja na wageni mara baada ya kumaliza ziara yao katika kitengo cha uzalishaji.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)